TANZANIA IMETOA ONYO KWA KUNDI LA WAASI LA M23

Image
Tanzania imetoa onyo kwa kundi la waasi la M23 la nchini jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo DRC Kuacha vitisho dhidi yake kufwatia mpango wake wa kupeleka wanajeshi wake nchini DRC kama sehemu ya wanajeshi wa umoja wa mataifa wtakaokanilian na makundi ya uasi mashariki mwa nchi hiyo.
Waziri wa mambo ya Nje wa Tanzania Bernard Membe ameliambia Bunge la Nchi hiyo kuwa lazima vitisho hivyo Vikome na Endapo vitaendelea nao watalipiza kisasi.
Mwezi uliopita waasi wa M23 huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC walionya kuwa watafanya mashambulizi ya kulipiza kisasi ikiwa watashambuliwa na Kikosi kipya cha kulinda amani Cha Umoja wa Mataifa,Kikosi ambacho Tanzania inatarajia kuwa na Jukumu Muhimu.

Vianney Kazarama musemaji wa kikundi la M23, aliandika ya fwatao kwenye mtandao la kijamii face book

“Musiogope, Uwezo tunao na siyo mucezo. Hata serikali ya kinshasa inajuwa uwezo na ushujaa wetu, inajuwa kama wale wazee wenye tumbu kubwakubwa hawataweza piganiya katika milima ya virunga, tena mapambano ya usiku hawataweza. Wanatumaini kutupa ma compora kwenye positions zetu, lakini compora kwetu ni kama ngoma ya muziki. hata iwe namunagani haturudiyake nyuma. Hata ile brigade ya bongo inatujuwa vizuri. Mutacunga itupinge mutacoka. Banakuya kula kufranga za congo, kusharati na wasicana wa Goma basi. Kabila aliwadanganya eti le 30 avril njo bataanza tupaganisha, sasa banageuza mu juin, juin ikifika batasema janvier 2011 bokozela trop. Congo iko na besoin ya viongozi benye bako serieux”.

nguruwasingya@gmail.com

This entry was posted in Uncategorized. Bookmark the permalink.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s